Mwalimu anaekubalika na wanafunzi lazima apitie ualimu?

Nina swali kidogo apo. hiv fikiria mm sio mwalimu nimefungu tuition centre wanafunzi wananielewa vizuri nkifundisha alafu wewe na iyo taaluma yako ya ualimu lakin kilaza wanafunzi hawa kuelewi unafikir wanafunzi watakimbilia wapi na yupi watamuona kua nimwalimu mzuri?
 
Wejifanye unataaluma yako ya ualimu mara cjui unajua namna ya kuwafanya wanafunzi wawe na disciplin nzur, lengo kuu la kwenda shule nikufuata masomo izo nyingine mbwembwe tu. Ukitaka kuuona ualimu nimgumu uwe kilaza kila kitu mwanafunz akikuuliza hujui mbona utahama fani utatamani ukasomee UBAKAJI
 
Baraza la mitihani linatoa matokeo ya mtihani kwenye masomo tu , ayo mambo ya nidhamu necta hawalitambui. tafuta mwalimu anae jua mambo co anae jua kufundisha nidhamu kwenye accademic certificate hakunaga matokeo ya nidhamu nyie niaje?
 
ualimu ni zaidi ya kufundisha.wakati nasoma advance hata nilipoingia first year niliamini ualimu sio lazma kusomea,niliamin hvyo kwasababu niliwahi kufundisha na nikawa nasifka kila kona hapo shuleni,Larkin baada ya kusoma course za ualimu nimegundua udhaifu wangu natamani nirudi kuomba msamaha kwa wanafunzi niliowafundisha.kwa ujumla ualimu unajifunza namna ya kustate general and specific objectives ambazo naamini Mwl wa mchikichn havijui.tena nlijifunza jinsi ya kufanya evaluation na aina za evaluation ili kubaini weakness kwa wanafunzi..mwisho niseme tu kwamba walimu wanafanya kazi ya kuitafsiri curriculum ambapo inahitaji skills za kutosha kufanya hivyo.walimu wa mtaani hajui hata syllabus inafananaje,wanawaoverload wanafunzi na kuishia kufeli.ndio pale unaposiki ,tuition zote alizosoma amefeli.
 
Discussion sawa, mazoezi pia sawa lakini je umeshawafundisha wanafunzi kuweza kufanya hayo? kwani nakumbuka Advance ilboru tulipigishwa practical kabla ya theory teena na mwalimu (mama flani mlokole) ebana chemistry nkawa siipendi tofauti na olevel tulikua tunaliita mdogo wake physics advance likawa baba lake physics. Huku theory kaka mzushi marshali ukimuuliza iko hivyo hivyo hiyo kaandika notes zake kwenye daftari la page 80 na halija jaa ukionyeshwa za mkandawile huna hamu hata ya kutinga darasani mana ni opetevu wa mda

Hapo unamuongelea mtu asiye timiza wajibu wake.

Nnaimani hao walimu walikuwa na tuition zao huko mtaani.
 
Asikudanganye mtu bana A za physics, math, chemistry mara nyingi hazitoki kwa walimu wa darasani nna uhakika physics na chemistry iliyopo ktk text book za darasani kutoa A hakunaga olevel ndo vitabu vinavyo tumiwa na walimu hivyo
ualimu ni zaidi ya kufundisha.wakati nasoma advance hata nilipoingia first year niliamini ualimu sio lazma kusomea,niliamin hvyo kwasababu niliwahi kufundisha na nikawa nasifka kila kona hapo shuleni,Larkin baada ya kusoma course za ualimu nimegundua udhaifu wangu natamani nirudi kuomba msamaha kwa wanafunzi niliowafundisha.kwa ujumla ualimu unajifunza namna ya kustate general and specific objectives ambazo naamini Mwl wa mchikichn havijui.tena nlijifunza jinsi ya kufanya evaluation na aina za evaluation ili kubaini weakness kwa wanafunzi..mwisho niseme tu kwamba walimu wanafanya kazi ya kuitafsiri curriculum ambapo inahitaji skills za kutosha kufanya hivyo.walimu wa mtaani hajui hata syllabus inafananaje,wanawaoverload wanafunzi na kuishia kufeli.ndio pale unaposiki ,tuition zote alizosoma amefeli.
 
Nenda shaban robert kaulize mwl wa math amesomea ualimu au kipaji na watoto wanafaulu kinoma.
 
mlupembe sio kosa lako ila ni mazingira yamekufanya kudhani ualimu si lazima kusomea.mfumo wa serikali umekua unaajir mtu yeyote hata kama c Mwl.
 
Basi kama ni hivo basi walimu wanaofundisha vyuo vikuu wote ni chenga tupu coz apart from wale waliosomea education wengne waliobaki wote ni wale waliofaulu vzr chuoni na wakabakishwa kufundisha wala hizo teaching skills hawazijui kabisaaa!
 
chuoni wanatoa lecture tu sio kufundisha kule.kumbuka chuoni watu wanajitambua hvyo hata lecturer asipoeleweka watu wanajitafutia wenyewe.kati ya method mbaya ya kufundishia ni lecturing method coz wanafunzi wanaelewa kwa5% tu(retention rate is 5%).utakubaliana na Mimi kuwa wanafunzi wa chuo wanakariri zaidi coz wakufunzi wengi hawana taluma ya ukufunzi.
 
Nimeshasikia mabishano mara nyingi watu ambao wamesoma education wanadai kuwa kama hujasomea ualimu huwezi kuwafundsha watu wakuelewe yaani hujui mbinu za kufundishia, je kiuhalisia ni kweli hiki kitu wadau?

Ikiwa ningeweza kukupa likes mia ningekupa. Tunavyoongea, hili ni jambo ambalo limeniudhi sana. Kuna rafiki yangu Mmoja ni Mwalimu wa shule ya chekechea hadi darasa la kwanza. Alifika darasa la nane, na Mwalimu bora sana. Kuna wengine nao wako na Bachelor of Education Early Childhood, lakini hata darasa hawezi kulitulisha. Kuna yule nayemfamu alipata D Kidato cha Nne, na akawa Mwalimu anayekubaliwa na wanafunzi, hata Mwalimu Mkuu (Alikuwa katika shule ya Umma,) akamuiba na kumpeleka katika shule yake ya kibinafsi.

Hili ni jambo ambalo niliandika proposal letter kwa serikali ya Kenya na ukitaka nitakuonyesha link.
 
chuoni wanatoa lecture tu sio kufundisha kule.kumbuka chuoni watu wanajitambua hvyo hata lecturer asipoeleweka watu wanajitafutia wenyewe.kati ya method mbaya ya kufundishia ni lecturing method coz wanafunzi wanaelewa kwa5% tu(retention rate is 5%).utakubaliana na Mimi kuwa wanafunzi wa chuo wanakariri zaidi coz wakufunzi wengi hawana taluma ya ukufunzi.

Nashukuru mkuu ,nmesha conclude walimu wetu wa vyuoni ni chenga tupu!!
 
Hata shule ya msingi wapo wengi tu wanao jitambua, Sifa za mwalimu utazisikia kwa wanafunzi kwamba yeye anaweza au hawezi mambo. Nakumbuka sana wakati nipo shule ya msingi kitu hii
chuoni wanatoa lecture tu sio kufundisha kule.kumbuka chuoni watu wanajitambua hvyo hata lecturer asipoeleweka watu wanajitafutia wenyewe.kati ya method mbaya ya kufundishia ni lecturing method coz wanafunzi wanaelewa kwa5% tu(retention rate is 5%).utakubaliana na Mimi kuwa wanafunzi wa chuo wanakariri zaidi coz wakufunzi wengi hawana taluma ya ukufunzi.
 
kila mtu anamalengo yake ktk maisha na amejiandaa kuwa nan ktk maisha cyo kwamba wanaoenda ualmu wote wamefel lahasha!.
 
ualimu ni zaidi ya kufundisha.wakati nasoma advance hata nilipoingia first year niliamini ualimu sio lazma kusomea,niliamin hvyo kwasababu niliwahi kufundisha na nikawa nasifka kila kona hapo shuleni,Larkin baada ya kusoma course za ualimu nimegundua udhaifu wangu natamani nirudi kuomba msamaha kwa wanafunzi niliowafundisha.kwa ujumla ualimu unajifunza namna ya kustate general and specific objectives ambazo naamini Mwl wa mchikichn havijui.tena nlijifunza jinsi ya kufanya evaluation na aina za evaluation ili kubaini weakness kwa wanafunzi..mwisho niseme tu kwamba walimu wanafanya kazi ya kuitafsiri curriculum ambapo inahitaji skills za kutosha kufanya hivyo.walimu wa mtaani hajui hata syllabus inafananaje,wanawaoverload wanafunzi na kuishia kufeli.ndio pale unaposiki ,tuition zote alizosoma amefeli.

umeongea maneno kuntu sana.
 
chuoni wanatoa lecture tu sio kufundisha kule.kumbuka chuoni watu wanajitambua hvyo hata lecturer asipoeleweka watu wanajitafutia wenyewe.kati ya method mbaya ya kufundishia ni lecturing method coz wanafunzi wanaelewa kwa5% tu(retention rate is 5%).utakubaliana na Mimi kuwa wanafunzi wa chuo wanakariri zaidi coz wakufunzi wengi hawana taluma ya ukufunzi.

nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom