FERTILIZER
Member
- Oct 23, 2014
- 60
- 5
Discussion sawa, mazoezi pia sawa lakini je umeshawafundisha wanafunzi kuweza kufanya hayo? kwani nakumbuka Advance ilboru tulipigishwa practical kabla ya theory teena na mwalimu (mama flani mlokole) ebana chemistry nkawa siipendi tofauti na olevel tulikua tunaliita mdogo wake physics advance likawa baba lake physics. Huku theory kaka mzushi marshali ukimuuliza iko hivyo hivyo hiyo kaandika notes zake kwenye daftari la page 80 na halija jaa ukionyeshwa za mkandawile huna hamu hata ya kutinga darasani mana ni opetevu wa mda
ualimu ni zaidi ya kufundisha.wakati nasoma advance hata nilipoingia first year niliamini ualimu sio lazma kusomea,niliamin hvyo kwasababu niliwahi kufundisha na nikawa nasifka kila kona hapo shuleni,Larkin baada ya kusoma course za ualimu nimegundua udhaifu wangu natamani nirudi kuomba msamaha kwa wanafunzi niliowafundisha.kwa ujumla ualimu unajifunza namna ya kustate general and specific objectives ambazo naamini Mwl wa mchikichn havijui.tena nlijifunza jinsi ya kufanya evaluation na aina za evaluation ili kubaini weakness kwa wanafunzi..mwisho niseme tu kwamba walimu wanafanya kazi ya kuitafsiri curriculum ambapo inahitaji skills za kutosha kufanya hivyo.walimu wa mtaani hajui hata syllabus inafananaje,wanawaoverload wanafunzi na kuishia kufeli.ndio pale unaposiki ,tuition zote alizosoma amefeli.
Nimeshasikia mabishano mara nyingi watu ambao wamesoma education wanadai kuwa kama hujasomea ualimu huwezi kuwafundsha watu wakuelewe yaani hujui mbinu za kufundishia, je kiuhalisia ni kweli hiki kitu wadau?
chuoni wanatoa lecture tu sio kufundisha kule.kumbuka chuoni watu wanajitambua hvyo hata lecturer asipoeleweka watu wanajitafutia wenyewe.kati ya method mbaya ya kufundishia ni lecturing method coz wanafunzi wanaelewa kwa5% tu(retention rate is 5%).utakubaliana na Mimi kuwa wanafunzi wa chuo wanakariri zaidi coz wakufunzi wengi hawana taluma ya ukufunzi.

Im a teacher of physics by professional. . .together with cmptnc besd carculm