Mwalimu anataka kubadiri Profession (Taaluma) NAOMBA USHAURI

Mwalimu anataka kubadiri Profession (Taaluma) NAOMBA USHAURI

Sababu kuu ya kuacha ualimu anadai kuwa hawezi kuendelea nayo na kati ya malengo mojawapo ni kuongeza kipato (sina uhakika juu ya hili) "People say you don't know what you've got until it's gone. Truth is, you knew what you had, you just never thought you'd lose it."
Sababu za kubadili taaluma ni zipi? Anabadili kwa sababu hataki ualimu? Yeye mwenyewe ana malengo gani? Sasa hivi kuna vijana wanaohitimu shahada wanakaribia kufika/wanafika 40,000 na ajira hazipatikani. Taaluma ambazo zina uhakika wa ajira ni udaktari na ualimu. Katika ushauri wako usisahau suala la ajira.
 
Back
Top Bottom