Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi! Huko kuna wachawi wengi. Ni ngumu sana kupata mtu wa kubadilishana nae. Wakerewe wenyewe wanakimbia kwao na kwenda kuishi sehemu zingine. Jitahidi umwombe MUNGU afanye miujiza utoke huko. Ukerewe naifahamu viuri sana. Nilishawahi kukaa huko. Nili-observe high standard of discrimination from Kerewe people against other tribes except Jita nad Haya.Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga 0757920263.
Aaah wapi! Huko kuna wachawi wengi. Ni ngumu sana kupata mtu wa kubadilishana nae. Wakerewe wenyewe wanakimbia kwao na kwenda kuishi sehemu zingine. Jitahidi umwombe MUNGU afanye miujiza utoke huko. Ukerewe naifahamu viuri sana. Nilishawahi kukaa huko. Nili-observe high standard of discrimination from Kerewe people against other tribes except Jita nad Haya.