Mwalimu anayetaka kuja Ukerewe

Mwalimu anayetaka kuja Ukerewe

Mkomawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
273
Reaction score
123
Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga 0757920263.
 
mimi nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilisha kutoka mikoa ya Singida,Manyara na Arusha.aliye tayar nicheki 0765070911
 
Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga 0757920263.
Aaah wapi! Huko kuna wachawi wengi. Ni ngumu sana kupata mtu wa kubadilishana nae. Wakerewe wenyewe wanakimbia kwao na kwenda kuishi sehemu zingine. Jitahidi umwombe MUNGU afanye miujiza utoke huko. Ukerewe naifahamu viuri sana. Nilishawahi kukaa huko. Nili-observe high standard of discrimination from Kerewe people against other tribes except Jita nad Haya.
 
Mdogo wangu yupo idara ya sekondari manispaa ya Musoma anatafuta mtu wa kubadilishana kutoka manispaa ya Morogoro, Iringa, Dodoma.Kwa aliyetayari ani pm
 
Aaah wapi! Huko kuna wachawi wengi. Ni ngumu sana kupata mtu wa kubadilishana nae. Wakerewe wenyewe wanakimbia kwao na kwenda kuishi sehemu zingine. Jitahidi umwombe MUNGU afanye miujiza utoke huko. Ukerewe naifahamu viuri sana. Nilishawahi kukaa huko. Nili-observe high standard of discrimination from Kerewe people against other tribes except Jita nad Haya.

kaka hizo ishu za uchawi ilikuwa zamani,,sasa hivi hayo mambo hayapo ndugu.
 
Ukerewe? mmh! Mamba wamekwisha? lile jiwe linalocheza la Bhulebheka bado lipo? Kuna Fastjet kutoka Mwanza? Bado Wakara wanakula njugumawe zilizokaangwa, unatafuna hadi unatokwa na mgolo. Ukerewe??? muulize Msekwa
 
Je wew ni mwalmu wa sekondar na ungependa kufanyia kaz biharamulo ukitokea singda manispaa,dom mjin au chamwino? Plz ni~pm, gharama za uhamisho ni juu yangu
 
Je wew ni mwalmu wa sekondar na ungependa kufanyia kaz biharamulo ukitokea singda manispaa,dom mjin au chamwino? Plz ni~pm, gharama za uhamisho ni juu yangu.
 
Back
Top Bottom