Mwalimu apachikwa mimba na mwanafunzi

Mwalimu apachikwa mimba na mwanafunzi

kama mwalimu kumpa mimba mwanafunzi mimba ni kosa,je mwanafunzi akimpa mimba mwalimu hali inakuwaje?

  • mwanafunzi kufukuzwa shule

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9

KALOKAGATHOS

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
38
Reaction score
6
Imezoeleka kuwa waalimu wa kiume ndiyo huwapachika wanafunzi wa kike mimba,lakini hali imekuwa tofauti kwa mwalimu huyu (jina limehifadhiwa)wa shule ya secondary Mwakibete hapa jijini Mbeya.huyu mwalimu kahamia shuleni hapa siku si nyingi kutokea shule flani hapahapa Mbeya.kuna walimu wengi wa kike wana tabia ya kuhamia katika shule za mjini wakitokea shule za vijijini,lengo kubwa ni kuwafuata mabwana zao,lakini wengine huja mjini kwa lengo la kuponda raha na kuonja bata za Town,Shule ya sekondari Mwakibete imekuwa Moto wa kuotea mbali kati ya shule kadhaa za kata hapa mjini,mwalimu huyu mwanadada hajamaliza hata mhula tangu ahamie hapa Mwakibete.baada ya kumkosa bwana wake hapa mjini akaamua kujichanganya na wanafunzi.kama ilivyo ada vijana wengi wamekomaa japo bado wapo shule.huyu mwalimu kachanganyikiwa maana inasemekana alikuwa anatoka na wanafunzi kadhaa wa Form III na IV,yaani hajui mwenye mimba ni nani,balaa tupu,kwanza aliifanya siri lakini kwa sasa mambo fwaaaa!!!,sasa sijui nani atachukuliwa hatua kati ya mwalimu na wanafunzi hao.cha ajabu ni kwamba uongozi wa shule umetulia tuli.Wizara ya elimu vipi? kamati ya shule hebu fuatilieni hili,CWT mpoooo?
 
Akili nyingine bwana, kwani hapo hakuna walimu wakiume mpaka agegedwe na wanafunzi?

By the way, alikuwa anajua matokeo yake.
 
kibaologia mimba inatokana na mbegu zilizokomaa za mwanaume na mwanamke kukutana na kuungana! kwa hyo hakuna cha ajabu hapo
 
Safi sana kaonyesha Kwa vitendo, na yawezekana mwl wa biology
 
Kiliwasha kikapitiliza wacha wakiwashie moto allah!safi sana dent wewe wa kiume
 
1.Mwalimu atafukuzwa kazi kwa kosa la kutembea na Mwanafunzi wake, hiyo ni bila kujali kama mwanafunzi ana maka 18 au chini ya hapo. Mwalimu ana wajibu wa kumlea mwanafunzi na hiyo ni nguzo ya kwanza kwenye maadili ya Ualimu, kukiuka hiyo ni kufukuzwa kazi na Utumishi (hawezi kuajiriwa kama Mwalimu maisha yake yote)
2.Mwanafunzi kwa upande wake atachukuliwa hatua kwa kusababisha mimba (mwanafunzi haruhusiwa kushiriki kwenye vitendo vinavyoashiria mapenzi iwe na mwanafunzi mwenzie au mtu mzima achilia mbali kusababisha mimba)
3. Kitakachofanyika hapo ni kuthibitisha kwamba wawili hao walifanya ngono (sio mapenzi) na hapo lazima vipimo vya vinasaba (DNA) vitahusika

Note: Na wewe Mwalimu wanaume wote hapo Mbeya umewakosa mpaka ukamvulie nguo Mwanafunzi wa kidato cha II? What a shame Munkari, Madame B
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu aongezewe mshahara kwa kuwa tayari atakuwa two in one na hako kakijana kapatiwe elimu ya malezi kwa kuwa ni baba kijacho muraa!
 
Huyo mwalimu akafanyiwe vipimo vya magonjwa ya maambukizi kwa lazima hasa HIV huenda alikua na nia ya kuharibu vijana.

Kwa hali ya kawaida mtu mwenye akili timamu hawezi kuchanganya wanafunzi wadogo kama hao.
 
Wewe mleta uzi, hivi unauhakika wa kiwango gani kama mwalimu alikua akifanya ngono na wanafunzi? Ok, inawezekana kweli alifanya lakini unauhakika wa kiwango gani kuwa mimba ni ya mwanafunzi?....
Pengine hatua za awali za ki uchunguzi zimefanywa na ikathibitika ni kweli amebeba ujauzito toka kwa mwanafunzi, lakini kama hakuna uhakika hasa wa DNA, angalia utakuja kuonekana unayo chuki, sababu nyingine au maslahi binafsi katika sakata hilo.
 
hamna kosa hapo mwl nae ni binadamu anahitaji la mwili let us take it easy and avoid such kind of excessive manner. Thanx
 
kalOKAGOTHAS kwenye POLL ungeongeza option ya "Hakuna Jibu":hat:
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmh!! walimu wengine bhana, sasa ilikuwaje akakubali kugegedwa na mwanafunzi wake?
 
Back
Top Bottom