Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Talent teacherKatika kuleta ubunifu na ufanisi kwenye ufundishaji, Mwalimu Kalesi ameibua hisia mitandaoni baada ya kutumia wimbo maarufu wa msanii Mbosso, "Pawa", kufundishia wanafunzi wake darasani.
Kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kikimuonesha mwalimu huyo akiimba na wanafunzi wake kwa pamoja, kimevutia watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii kwa namna alivyochanganya elimu na burudani kwa ustadi.