Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
GEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.
Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.
Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.
Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.
So sad!
Pia soma
- Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu
mpwayungu village Mshana Jr