TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Naunga mkono serikali iache kuajiri walimu wa certificate, wengi hawana exposure isipokuwa inferiority complex imewajaa.

Walim wenye asili ya Kanda ya ziwa wengi wanaongoza Kwa changamoto hizo hapo juu na pia hawaamin Katka uwezo wao. Ukimkosoa unakuwa adui yake.

Good example ni the late JPM ,, huyu alikuwa mwalim kutoka Kanda ya ziwa, alikuwa na exposure ndogo, hakuwa akiamin ktk uwezo wake na ole wako umkosoe.

Ukitaka kuwaelewa walim wenye asili ya Kanda ya ziwa basi look to their model JPM . Kukuua bila 7bu ya msingi hawaoni kaz muulize Lisu
hio research yako karudie kukusanya data
 
Huenda alikuwa na msongo wa mawazo/sonono inayosababishwa na maradhi kama UKIMWI, moyo na kisukari endapo alikuwa hatumii dawa zake kupunguza makali. Maofisini pia kuna tabia ya kutenga kutengana wafanyakazi kwa sababu mbalimbali. Unaweza ukajikuta umechukiwa na staff nzima na kuanza kumkabili yeyote anayeonekana ni chanzo cha chuki
 
Back
Top Bottom