TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
GEITA.

Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.

Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.

Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.

Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.

Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.

So sad!

Pia soma
- Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu


mpwayungu village Mshana Jr
 
Kaka unafeli Sana ,, Social networks zipo Kwa ajili hii.
Means wewe it's ok kusikia na kuona picha za baba ,mama,dada etc kwenye social networks siku wakifa?,sikulaumu matokeo ya kuishi ni pithole country, issue kama hii sherrif anakuja kwenye address ya next of kin na kumpa taarifa, sio kama mtoa mada hii alivyofanya
 
Una uhakika mtoa mada ndio mtoa taarifa wa kwanza wa huu msiba? Yaani ndugu ndio wanaona hapa?
Bahati mbaya dunia ya sasa inazunguka kwemye social media si huku kwetu unapopaita pithole country au huko ulipo heaven on earth issues ni hizi hizi. Juzi juzi tu star SA kafia jukwaani within minutes dunia nzima imejua kupitia social networks,aka nae same huko USAUK watu kibao wanauana na tunaona mitandaoni. Hio haina maana kwamba Hakuna formal process ya kutoa taarifa kwa wahusika.
 
Mpwayungu njoo huku uone
 
Aliyemchoma ni mwalimu wa Kike au kiume!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…