Mwalimu bora ni yupi?

Joined
Aug 7, 2013
Posts
71
Reaction score
15
Amani kwenu wana jamvi...
Sote tulipitia mikononi mwa walimu...walimu wengine tutawakumbuka maisha yetu yote kwa ubora wao na kuwajibika kwao vizuri katika malezi bora na maadili.

Dunia ya sasa imebadilika kidogo na hata waalimu wamebadilika...ila sisi tumejaliwa watoto ambao watapitia mikononi mwa walimu hawa tunaoona hawana wito wala maadili ya kazi hii(haiba ya mwalimu)

Sisi kama jamii tujaribu kukumbushana sifa za mwalimu bora walau kama walimu watazingatia tutainua taifa letu kielimu.

Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…