lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaongea hivyo, kizazi kipya haukiju?Mtoto wa darasa la sita wa Sasa unabaka wapi jmn? Yaani kabisa unapata hisia kwa mtoto wa darasa la 6.
Basi mboo itakuwa na akili kubwa ya ushawishi kuliko vichwa vyetu vya kawaida. Duuh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenifikirisha! Ivi kweli'eh? Ukishapugwa ndiyoivo tena pensheni hakuna!Angestaafu na miaka 50 angetulia ajilie penshion yake.
Amevuna alishopanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kustafu kwa hiari bado walimu wanafanya?Angestaafu na miaka 50 angetulia ajilie penshion yake.
Amevuna alishopanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu haukejeli dini zingine una hakika?
Au nishuke nondo hapa
Islam opponent of other religion
Dini yako inafundisha waamini wake ikiwemo wewe kuchukia imani zingine kwa sababu kadhaa ikiwemowe uislamu haukejeli dini zingine acha mbwembwe
Dini yako inafundisha waamini wake ikiwemo wewe kuchukia imani zingine kwa sababu kadhaa ikiwemo
1. Kupotoshwa.
2. Hazifundishi watoto wao ugaidi.
Hii sio kejeli?
Biblia inasema Kristo alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na yeye ni mwana wa Mungu dini yenu nini kiliiwasha hadi kuja kuandika ilichoandika ilihali hakuna yeyote katika watu wa muddy waliowahi kumuona hata mwanafunzi wa Yesu.
Unajitoa ufahami sio?we ndio unakejeli dini yetu Nani" Muddy " alaf Hakuna aya hata moja Katika Quran inayoikejeli dini nyingine.
😰😰 unajaribu kusema nini?Kachukue Biblia yako fungua sehemu yenye maana ya maneno magumu ujue maana halisi ya Hori.
Haya kapige madufu basi.kingine nyie kwenu Yesu kwetu Issa Kama ukiona issa sio yesu fanya Kama unampotezea ili ibaki kuwa yesu ni yesu na issa ni issa vinginevyo hapa utaleta mjadala.