Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ulikuwa hupend kuitwa mchumba? Na mchuchuNilipokuwa Darasa la Tatu, mwalimu wangu alinipenda sana akawa ananiita ''Mchumba wangu " kila akiniona.
Waliokuwa Darasa la saba wakati wakawa wananitania sana, mimi nlichukia sana, ila baadae alikuja kuacha kuniita hivyo na akaja kuhama shule akarudi kwao Arusha
NdioKwahiyo ulikuwa hupend kuitwa mchumba? Na mchuchu