Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafutwe popote alipo afunguliwe mashtaka ya:-Ameopoa kimasihara
Unaongea na akina *Mwanyilu" ujue!Mimi nipo Kimininzowo huku.Mnasema iringa kauli mbiu niangushage dhambi zako ila nyie mmezidi
ivi unajua huyo binti alishawahi kutorokea kwa mwanaume akiwa kidato cha nne piah?Nashauri Rais WA TEC, Padri Gervais Nyaisonga, ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Shule ya Pandahill wamuondoe Mwalimu huyu katika hii shule ya Pandahill.
Amehusishwa na upotevu wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Mchepuo wa PCB. Jina linahifadhiwa
Nawasilisha Ushauri huu Kwa Rais WA TEC
"kama hauna ushahidi basi jifanye muhanga"Mwalimu anatwishwa uhuni wa mwanafunzi mjinga.
Tanzania Wajinga Ni WengiUnahifadhi jina wakati linajulikana?Acha mbwembwe.
SawasawaNashauri Rais WA TEC, Padri Gervais Nyaisonga, ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Shule ya Pandahill wamuondoe Mwalimu huyu katika hii shule ya Pandahill.
Amehusishwa na upotevu wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Mchepuo wa PCB. Jina linahifadhiwa
Nawasilisha Ushauri huu Kwa Rais WA TEC
Hakuwa na bando🤣🤣🤣Wewe unaishi nchi gani?
These... ze na is nyingi ni kwa wale learner's mkuu sie legendary tuna foka tu mistari ki prof mwanzo mwisho Hadi wajukui wanapiga chafya babuuuu ulisoma lini na wapi ....Umeiacha "is" na "the" sehemu au umezidondosha mkuu.
Si kweli.Kujidanganya kuwe na mwisho.Rules are rules,fella!Without rules we are all savages!These... ze na is nyingi ni kwa wale learner's mkuu sie legendary tuna foka tu mistari ki prof mwanzo mwisho Hadi wajukui wanapiga chafya babuuuu ulisoma lini na wapi ....
Rahaaaaaaaaaa Sana kizazi hiki kigumu Sana Cha kukalilishwa masomo
Sasa ndo tumepiga shule na kutoboa kwa GPA za maana, note siyo GPA za hesabu au Physics zenye lots calculations bythen but social science kwamba kujieleza kwa Sana na bado paper zilieleweka na kilichojibiwa pia hakukuwa na kubana pua pia kwenye oral na panel ikawa nyepesi mkuu.Si kweli.Kujidanganya kuwe na mwisho.Rules are rules,fella!Without rules we are all savages!