sock masta
Member
- Mar 10, 2014
- 27
- 6
Mimi ni mwl ajira mpya,naomba ushauri wa jinsi ya kujiendeleza ikiwa nna credt 3 nataman kufika mbal zaid kabla majukum ya kifamilia hayanitinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwl ajira mpya,naomba ushauri wa jinsi ya kujiendeleza ikiwa nna credt 3 nataman kufika mbal zaid kabla majukum ya kifamilia hayanitinga.
Ukishapangiwa kituo tafuta material ya advance jipangie ratiba ya kusoma kila siku.Ikifika mwezi wa kulipia mtihani fanya hivyo pia utalipia kituo cha kufanyia mtihani, hata mimi nilianzia huko Cert, nikajisomea mwenyewe bila msaada wa mwl kutokana na ugumu wa mazngira nilianza kujisomea may 2006 february 2007 nilpga pepa nikapata 3 ya 13 nilikosa ruhusa 2007 kwenda kusoma, 2008 nilienda dplm, nikahitmu 2010, ilipoanza TCU niliomba 2011 now nipo RUCO Iringa namalizia semester ya mwisho BAED three.unaweza kunicheki kwa no. 075253301 kwa maelezo ya ziada.
Duh mkuu hongera kwa jitihada zako....
hongera sana mkuu lusungo! kupitia maelezo yako ume'inspire wengi kwamba hivi vitu vinawezekana. nawasihi ndugu zangu hata kama hana crdt aanze kwa kuzitafuta lazima atasonga mbele