Mwalimu kujiendeleza kielimu

Mwalimu kujiendeleza kielimu

sock masta

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
27
Reaction score
6
Mimi ni mwl ajira mpya,naomba ushauri wa jinsi ya kujiendeleza ikiwa nna credt 3 nataman kufika mbal zaid kabla majukum ya kifamilia hayanitinga.
 
weka sawa kichwa cha habari.
unamuda gani kazini?
 
Mimi ni mwl ajira mpya,naomba ushauri wa jinsi ya kujiendeleza ikiwa nna credt 3 nataman kufika mbal zaid kabla majukum ya kifamilia hayanitinga.

Ukishapangiwa kituo tafuta material ya advance jipangie ratiba ya kusoma kila siku.Ikifika mwezi wa kulipia mtihani fanya hivyo pia utalipia kituo cha kufanyia mtihani, hata mimi nilianzia huko Cert, nikajisomea mwenyewe bila msaada wa mwl kutokana na ugumu wa mazngira nilianza kujisomea may 2006 february 2007 nilpga pepa nikapata 3 ya 13 nilikosa ruhusa 2007 kwenda kusoma, 2008 nilienda dplm, nikahitmu 2010, ilipoanza TCU niliomba 2011 now nipo RUCO Iringa namalizia semester ya mwisho BAED three.unaweza kunicheki kwa no. 075253301 kwa maelezo ya ziada.
 
Duh mkuu hongera kwa jitihada zako....
 
Duh mkuu hongera kwa jitihada zako....

hongera sana mkuu lusungo! kupitia maelezo yako ume'inspire wengi kwamba hivi vitu vinawezekana. nawasihi ndugu zangu hata kama hana crdt aanze kwa kuzitafuta lazima atasonga mbele
 
Je haiwezekan kupata nafasi il kusoma advanc kishule shule km private iv.
 
hongera sana mkuu lusungo! kupitia maelezo yako ume'inspire wengi kwamba hivi vitu vinawezekana. nawasihi ndugu zangu hata kama hana crdt aanze kwa kuzitafuta lazima atasonga mbele

Kwakweli mkuu kila la kheri
 
hongera kwa kuwa na wazo la kujiendeleza kielimu. usipopenda kusoma advance, open university wametoa kozi zinazowawezesha walimu wa certificate kuendelea na diploma ya open katika matawi yao bila kupitia advance, ni rahisi na salama na baada ya diploma unaweza kujiunga na digree moja kwa moja katika chuo chochote. Mwanzoni haikuwa smart lakini kwa sasa iko smart na ina uhakika! nina ndugu zangu watatu ambao wamegraduate lakini wamepitia njia hiyo na salary zilipanda. kwa maelezo zaidi watembelee katika website yao upate namna ya kujiunga na kozi wanazotoa. Uckate tamaa kila kitu ni mipango na maisha ni risk.
 
Back
Top Bottom