TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.
Kuna Dr alisema ukiona umepangiwa kulazwa kwenye hiyo hospitali anza kuandika wosia
 
Apumzike kwa amani. Kupitia vijitabu alivyoandaa vya topic mbalimbali za Geography alifanya maisha ya shule kuwa rahisi mno kwa somo hilo.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Karibia shule zote alizopita ni za kiislam,,
 
Nimetumia sana vitini vyake A leval (Geography). Mungu ailaze mahali pema roho yake.
 
Pia alikuwa Mtunzi mzuri wa Nyimbo za Kwaya za Catholic, R.I.P Jembe msalimiie Jembe Hidden Agenda.
 
nampata huyo,Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Jamaa nimesoma sana vitini vyake na wakati walikizo nilikuwa nahudhuria solving za geography tunalipishwa Kwa kipindi it's so sad [emoji22][emoji22]
 
Rest in Peace Mwalimu Mtegetwa. You were such a brilliant Geography teacher. I never missed your classes and exams pale Msimbazi, Dar es Salaam , and you helped me secure an A in my ACSEE Geography Exam. Your passing has left a void in our hearts. My deepest condolences to the family and loved ones. May your soul find eternal peace. You will be greatly missed, Mwalimu Mtegetwa.
 
Apumzike kwa Amani! Alikuwa bado kijana

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
R.I.P Legend....muda alioishi duniani ameutendea haki na kuzaa matunda.

Huyu Mwamba hajafa bali amelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…