TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Mbona ziko shule karibu zote hapo za Kiislam alizofundisha? Kwa kusoma tu, napata taswira alikuwa ni muumini wa Kiislam. Hakuna shida!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.

Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU.

Best Teacher in Geography, mwalimu Mtegetwa alikuwa na kituo maarufu cha masomo ya ziada na kutoa mitihani Msimbazi, Dar es Salaam.

=======

Educational Background:-
  1. Primary Education 1982 - 1988 At Ruvu Darajani Primary School Bagamoyo.
  2. Secondary Education ( O level ) 1989 - 1992 At Lugoba Secondary School.
  3. Utete Secondary School Rufiji.
  4. Zanaki Institute Of Adult Education DSM And AIC - DSM (A level ) August 1994 - May 1997.
  5. Univesity Of Dar Es Salaam - FASS 1998 2001
He was also Employed as full and part time A level Geography Teacher at Various Secondary Schools
  1. Al Haramain Seminary (DSM) July 2001 - March 2005.
  2. Kinondoni Muslim (DSM) February 2002 - March 2003.
  3. Mororgoro Secondary School (Morogoro) May 2003 - July 2004.
  4. Ridhiwaa Seminary DSM August 2004 - September 2005.
  5. Telenets (T) LTD 2013 - 2015.
  6. Msolwa Seminary School (Morogoro) 2015 - 2016.
  7. Baobab Secondary (Bagamoyo)
RIP TR
 
Kumbe kafundisha na shule niliyosoma Msolwa seminary, alazwe mahala pema.
 
R.I.P Mtegetwa
Kwa wale wa Hgl mzunguko ulikuwa unaanza kwa Wagi Kamanija pale buguruni,unakuja kwa mtegetwa au unaenda chang'ombe kwa Ustaadh unakuja kumalizia kwa mtegetwa
 
D.T MSABILA bado hana mpinzani kwenye suala la geography

Mwendo umeumaliza, nenda salama mwalimu....
 
Uwe unaficha basi ujinga ndugu yangu kwenye post serious mbona unakua na tabia za kishamba hivyo?
 
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.

Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU.

Best Teacher in Geography, mwalimu Mtegetwa alikuwa na kituo maarufu cha masomo ya ziada na kutoa mitihani Msimbazi, Dar es Salaam.

=======

Educational Background:-
  1. Primary Education 1982 - 1988 At Ruvu Darajani Primary School Bagamoyo.
  2. Secondary Education ( O level ) 1989 - 1992 At Lugoba Secondary School.
  3. Utete Secondary School Rufiji.
  4. Zanaki Institute Of Adult Education DSM And AIC - DSM (A level ) August 1994 - May 1997.
  5. Univesity Of Dar Es Salaam - FASS 1998 2001
He was also Employed as full and part time A level Geography Teacher at Various Secondary Schools
  1. Al Haramain Seminary (DSM) July 2001 - March 2005.
  2. Kinondoni Muslim (DSM) February 2002 - March 2003.
  3. Mororgoro Secondary School (Morogoro) May 2003 - July 2004.
  4. Ridhiwaa Seminary DSM August 2004 - September 2005.
  5. Telenets (T) LTD 2013 - 2015.
  6. Msolwa Seminary School (Morogoro) 2015 - 2016.
  7. Baobab Secondary (Bagamoyo)
'Kamanda' by Daz nundaz.....😭
 
Nilipata sifa zake , nikamtafuta kwa ajili ya somo la Jiografia kwa mwanangu nilifanikiwa kukutanq naye na kufanya naye mazungumzo lkn wakati huo alikuwa mgonjwa mwenye nafuu.

Maana ndo alikuwa ana recover kutoka kwenye maradhi ya KUPOOZA, nilipata story nyingi juu ya afya yake, mpka mtu niliyemuulizia na kumwambia nimepewq namba yake ya simu na nimempigia ameniita nikutane naye ,jamaa akasema twende wote maana ni wengi wanaotumia jina Lake kuvutia WANAFUNZI/WAZAZI wakati sio yy.

Alinisindikiza na kunitaarifu ndo mwenyewe niliongea naye na kupatana naye juu ya somo la JIOGRAFIA kwa mwanangu. NASHUKURU licha ya afya yake lkn Binti kuna alichoambulia kwa Mwl huyu.

Raha ya Milele Ampe eeh Bwana na Mwanga wa Milele Amwangaziee Apumzike kwa Amani.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam

Sasa haya yanatokea wapi ewe mfia imani na tamaduni za waarabu.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Kwani yeye alikuwa wa Elohim au Allah?
 
Back
Top Bottom