Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
 

Attachments

  • 5CCB5865-FE10-46F0-A474-61525DB5FA91.jpeg
    5CCB5865-FE10-46F0-A474-61525DB5FA91.jpeg
    26.6 KB · Views: 5
Mwalimu upo sawa kabisa kutaka kujua alipo Maganga.

Huyo ni public figure lazima ajulikane alipo kwa ajili ya reference mbalimbali mfano walimu wenzake wajue kama inawezekana kunyimwa likizo ya bila malipo.

Hapa hayafuatiliwi maisha binafsi ya Maganga, bali anafuatiliwa katibu wa CWT pamoja na kanuni za utumishi wa umma.

Waandishi wa habari walitakiwa waje na taarifa baada ya tarehe moja oktoba ambapo barua ya mkurugenzi ilimtaka kurudi kazini.
 
Back
Top Bottom