Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimejiuliza sijapata jibu, kwani alitafutwa hajapatikana na kila anayeomba kibali kama hicho utangazwa kwa umma na nilipi lengo la kutangaza kwa umma?Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?
Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.
Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?
Pathetic!.
Kwa hiyo ulitaka akubali tu uteuzi hata kama hataki ukuu wa wilaya?Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho ..
HATIMAYE RASMI SASA BWANA HUYO KUKIONA CHA MOTO KWA KURUDISHWA KITUO CHAKE CHA KAZI KAMA MWALIMU MWANDAMIZI DARAJA A KATIKA MANISPAA YA TEMEKE...
Bora umemfafanuliaBwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa
Kwahiyo huyo Mkurugenzi ameshindwa kuwasiliana na huyo Mwalimu moja kwa moja mpaka autume umma ukampelekee ujumbe?Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho ..
HATIMAYE RASMI SASA BWANA HUYO KUKIONA CHA MOTO KWA KURUDISHWA KITUO CHAKE CHA KAZI KAMA MWALIMU MWANDAMIZI DARAJA A KATIKA MANISPAA YA TEMEKE..
Ni kama onyo kwa wote wanaokataa teuzi maana cheo alichoshushwa dah ni kama mkurugenzi umrudishe kuwa mtendaji wa kata🤣🤣Nami nimejiuliza sijapata jibu, kwani alitafutwa hajapatikana na kila anayeomba kibali kama hicho utangazwa kwa umma na nilipi lengo la kutangaza kwa umma?
Pathetic indeed, serikali ya hovyo hovyo.Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?
Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.
Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?
Pathetic!.
Unafikir atakuwa huru kufundisha Mkuu jiulize kwanza kwanini atangazwe na Tamisemi na sio Manispaa ya Temeke maana kuna kitu kinaandaliwaBwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa
Na hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kaziMantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?
Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.
Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?
Pathetic!.
Kama umefikiri kama mimiBaada ya hapo mashtaka dhidi yake yanaandaliwa, Kwamba alifanya ubadhirifu pale cwt
Hizi ndizo akili za watanzania maana 99.9% ni machawa hawana msimamo na wala hawafuati wanachotaka.Kwa hiyo ulitaka akubali tu uteuzi hata kama hataki ukuu wa wilaya?
Hajashusha bali hiyo ndio ajira yake, cheo alichokuwanacho ni cha kugombea au kuazima tu.Ni kama onyo kwa wote wanaokataa teuzi maana cheo alichoshushwa dah ni kama mkurugenzi umrudishe kuwa mtendaji wa kata🤣🤣
Cha ajabu mkurugenzi sio aliyepost ila afisa habari wa Tamisemi ndo kapost najiuliza imekuwaje wizara itume report ya Mamlaka ya manispaaKwahiyo huyo Mkurugenzi ameshindwa kuwasiliana na huyo Mwalimu moja kwa moja mpaka autume umma ukampelekee ujumbe?
angedhalilishwa kivipi kama performance yake ingekuwa ya kuridhisha?Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
😅😃😀😁😄😁😅😅😃😃😀😁Nzi wanasemaga we ukijua hivi wenzio wanajua vile
Ndio maana umechoka sana!Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya...
Ila kwa sasa anapelekwa kurudi kama Mwalimu mwandamizi Daraja A unajua anapata kiasi gani na atafundisha Shule ya msingi unajua udhalilishaji na majuto atakayopata maana hata diwani atakuwa boss wake sasa....KIPI NI BORA?
Kwa kumtizama tu hana miaka 10 kazini anaenda kustaafu apewe mafao yake kama ilivyo kawaida maisha yaendelee.Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya...