Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?

Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.

Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?

Pathetic!.
Nami nimejiuliza sijapata jibu, kwani alitafutwa hajapatikana na kila anayeomba kibali kama hicho utangazwa kwa umma na nilipi lengo la kutangaza kwa umma?
 
Kwa hiyo ulitaka akubali tu uteuzi hata kama hataki ukuu wa wilaya?
 
Bora umemfafanulia
 
Kwahiyo huyo Mkurugenzi ameshindwa kuwasiliana na huyo Mwalimu moja kwa moja mpaka autume umma ukampelekee ujumbe?
 
Nami nimejiuliza sijapata jibu, kwani alitafutwa hajapatikana na kila anayeomba kibali kama hicho utangazwa kwa umma na nilipi lengo la kutangaza kwa umma?
Ni kama onyo kwa wote wanaokataa teuzi maana cheo alichoshushwa dah ni kama mkurugenzi umrudishe kuwa mtendaji wa kata🀣🀣
 
Unafikir atakuwa huru kufundisha Mkuu jiulize kwanza kwanini atangazwe na Tamisemi na sio Manispaa ya Temeke maana kuna kitu kinaandaliwa
 
Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?

Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.

Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?

Pathetic!.
Na hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kazi
 
Kwahiyo huyo Mkurugenzi ameshindwa kuwasiliana na huyo Mwalimu moja kwa moja mpaka autume umma ukampelekee ujumbe?
Cha ajabu mkurugenzi sio aliyepost ila afisa habari wa Tamisemi ndo kapost najiuliza imekuwaje wizara itume report ya Mamlaka ya manispaa
 
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
angedhalilishwa kivipi kama performance yake ingekuwa ya kuridhisha?
 
Aende Akafundishe Ama Asche Kazi Tuone
 
Ndio maana umechoka sana!
 
Kwa kumtizama tu hana miaka 10 kazini anaenda kustaafu apewe mafao yake kama ilivyo kawaida maisha yaendelee.

So usimsikitikie sana wewe siyo mkewe,kingine kila mtu ana namna yake ya kupata ridhiki hujui aliona nini au alikuwa anapata nini alipokuwa ktk nafasi aliyokuwa wakati anakataa huo uteuzi so mwache atumie uhuru wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…