py thon JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 2,476 Reaction score 4,448 Mar 8, 2018 #1 Binafsi sijaona umuhimu wa Ulimwengu na Farid kuitwa ,huko kwenyewe hawachezi mpira mfano Ulimwengu hakupaswa kuitwa Ila mwalimu anakariri Mkude[emoji736] Awesu[emoji736] Buswita [emoji736] Walifaa kujumuishwa sababu wamekuwa na kiwango bora msimu huu kwenye ligi
Binafsi sijaona umuhimu wa Ulimwengu na Farid kuitwa ,huko kwenyewe hawachezi mpira mfano Ulimwengu hakupaswa kuitwa Ila mwalimu anakariri Mkude[emoji736] Awesu[emoji736] Buswita [emoji736] Walifaa kujumuishwa sababu wamekuwa na kiwango bora msimu huu kwenye ligi
mjenziwakale JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 954 Reaction score 1,469 Mar 8, 2018 #3 Algeria wa nini tena jamani..... hii si haki kwa kweli, Caf you are killing us
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,010 Reaction score 4,083 Mar 11, 2018 #4 Sasa mkuu wewe ni Mwalimu?? Wakati mwingine tusijifanye sisi kila Kitu tunajua Siasa upo, Mpira upo, Daktari mshauri upo Sasa najiuliza kwanini usichague kimoja maana mpira sio cheza domo
Sasa mkuu wewe ni Mwalimu?? Wakati mwingine tusijifanye sisi kila Kitu tunajua Siasa upo, Mpira upo, Daktari mshauri upo Sasa najiuliza kwanini usichague kimoja maana mpira sio cheza domo
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Mar 11, 2018 #5 Aisee nikisikia kocha mwenye jina la kiafrica/ki Tz sijui Mayanga najua tu tayari lazima taifa stars ipigwe tu.Nna tatizo nahisi
Aisee nikisikia kocha mwenye jina la kiafrica/ki Tz sijui Mayanga najua tu tayari lazima taifa stars ipigwe tu.Nna tatizo nahisi
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 11, 2018 #6 mjenziwakale said: Algeria wa nini tena jamani..... hii si haki kwa kweli, Caf you are killing us Click to expand... Mkuu ulichokiandika aibu naona mimi.
mjenziwakale said: Algeria wa nini tena jamani..... hii si haki kwa kweli, Caf you are killing us Click to expand... Mkuu ulichokiandika aibu naona mimi.