py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Binafsi sijaona umuhimu wa Ulimwengu na Farid kuitwa ,huko kwenyewe hawachezi mpira mfano Ulimwengu hakupaswa kuitwa
Ila mwalimu anakariri
Mkude[emoji736]
Awesu[emoji736]
Buswita [emoji736]
Walifaa kujumuishwa sababu wamekuwa na kiwango bora msimu huu kwenye ligi
Ila mwalimu anakariri
Mkude[emoji736]
Awesu[emoji736]
Buswita [emoji736]
Walifaa kujumuishwa sababu wamekuwa na kiwango bora msimu huu kwenye ligi