mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,050
Alikua Mkuu wetu Mkwawa mwaka 2003-2005,pumzika Kwa amani mjombaAliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.
Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.
Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Mungu amuweke anapostahili Mwl wetu Mkwawa High School, Shabani Robert west/ makanyagio domotoryAliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.
Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.
Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Lumumba east nipo hpaMungu amuweke anapostahili Mwl wetu Mkwawa High School, Shabani Robert west/ makanyagio domotory
Mwaka Gani? Lumumba west, east na makongoro west Kwa mabishoLumumba east nipo hpa
Mie nilikua magembe west, tulioishi bweni hili tunyooshe vidole vyetu juuMwaka Gani? Lumumba west, east na makongoro west Kwa mabisho
Jirani na wale wadada wa magembe westMie nilikua magembe west, tulioishi bweni hili tunyooshe vidole vyetu juu
Ooh jamani... Mungu amlaze mahali pema aisee... Alikuwa Mkuu wa shule wa ukweli sana, enzi hizo Mkwawa Complex... nakumbuka kauli yake siku moja tulipokuwa assemble J3 asubuhi, nanukuu "those who will not jump, they will jump home". Kauli hiyo ilitokana na mkwara wa General Secretary - Samwel Magoiga alipowataka dodgers wa usafi mabwenini (kama Lumumba west&east,,etc) watoke mbele.Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.
Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.
Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Aggrey West Kwa Mama MassaweMie nilikua magembe west, tulioishi bweni hili tunyooshe vidole vyetu juu
Ndio Apumnzike Kwa amaniHuyu alikuja baada ya Mgohamwende? Miaka inaenda nishawasahau.