TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

Aliumwa sana,kuna kipindi miaka kama 5 iliyopita alikatwa mguu kutokana na kisukari,apumzike kwa amani
 
Yaani watu hawa wa Songea boys, Mkwawa, Iyunga . Samfelis hatuna taarifa msiba uo wapi uliyeleta uzi huu tafadhali tupe taarifa msiba ulipo na mpango wa mazishi tafadahli
 
Picha yake
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.

Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.

Apumzike kwa amani S.S.Mbao
 
Headmaster
Pumzika Kwa Amani, Mwendo Umeumaliza
 
Maandazi ya Nelcon na yule mama aliyekuwa na kibinti chake jirani na Kwa Nelcon, ila wali wa makanyagio ulikuwa na hamira sana, Hass Kwa Mzee chuwa na nelcon
Mzee Chuwa anakuangalia kwa jicho lake kama amebugia mbege ujue!Mabanzi yalikuwa matamu na manono no matter what!
 
Kwa watu wa Shabani Robert west Makanyagio ilikuwa kama home ukitoka Darasani unaingia Bwenini unapita Boiling Room kw kina Riz Moja, huyo makanyagio
Hahahaaaaa!Unapita ikulu,hapo ulipita "open-roof" ya Lumumba West kukata gogo kwa bwana Anold?Funny,huh?🤣🤣🤣🤣
 
Kwa watu wa Shabani Robert west Makanyagio ilikuwa kama home ukitoka Darasani unaingia Bwenini unapita Boiling Room kw kina Riz Moja, huyo makanyagio
Mkuu,
Ulisoma enzi za Rizmoja? Sie wa SR East na wale wa West makanyagio ilikuwa sehemu ya maisha yetu.
 
Back
Top Bottom