nenda wizaran kaombe ajira zipo za kumwaga
hakikisha uwe na vyeti ,
POA NDUGU, MEKUELEWA.
nenda wizaran kaombe ajira zipo za kumwaga
hakikisha uwe na vyeti vyako halali sio vya kufoji
uko wap mkuu
MKUU,NIPO IGUNGA TABORA
uko wap mkuu
MKUU,NIPO IGUNGA TABORA
nenda hapo st.thomas acquinas, fpct umoja sec.jaribu hapo kwa hesabu wanauhitaji