Mwalimu mhitimu diploma, natafuta ajira (maths)

Mwalimu mhitimu diploma, natafuta ajira (maths)

daviii

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
111
Reaction score
11
mimi ni mhitimu wa diploma ktk masomo ya geog na maths, kama kuna m2 anauhtaj wa mwalm wa math anijulishe via 0765767543
 
Da! kamakweli mbona nyie ndo wale adim mashuleni kwanini upo nyumbani ikiwa wanatafutwa kama nyie? nenda wizalani au hata shule yoyote ukajitolee kwa muda watajua uwezowako nirahisi kupata ajira
 
tatizo serikali hawatoi ajira, tumesubr adi inakera sana, naona bora ata nikipata private tu itanisaidia kukiz mahtaj.
 
hebu jitolee shule yeyote hapo, the baada ya muda wakikubali watakulipa. saiz ajra ni za kujitolea
 
Walim Wanahtajka,sema Weng Hawatak Kufany Kazi Vijijin,maisha Popote,uccte Km Utapata Chanc Pori
 
jaribu ST.CLARE GIRLS SECONDARY SCHOOL IKO BIHARAMULO. HAWANA MWALIMU WA GEOGRAPHIA FOMR ONE NA TWO.

MATEKOE YA FORM FOUR YA MWAKA JANA WAMEVANY VIZURI SANA IGAWAJE NDO MARA YA KWANZA KWAO
 
Back
Top Bottom