Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

Bora angebaka pekeake kesho angembembeleza dogo na vizawadi asitoe Siri ila katatua Hadi rinda jamaa ni kichaa aisee.
 
Hatari Sana. Kama kweli.
Ninachojiuliza ni kwamba, huyo mtoto baada ya kubakwa na kulawitiwa, ilikuwaje arudi tena kwa mwalimu yuleyule na aanze utaratibu wa kumpa sumu. Yaani hiyo sumu alikuwa anambugiza kwa nguvu au alimwekea kwenye chakula?
Mtoto amebakwa na kulawitiwa, ameenda kwa mama yake kesho yake kusaidia kufukuza ndege then arudi tena kwa mbakaji katika mazingira yanayowezesha kulishwa sumu ?

Hili tukio inawezekana ni la kweli lakini mbona Kama Kuna utata wa mtiririko?
 
Hii habari ndio imeishia hapo?!
 
Mwanamke mpumbavu huiharibu nyumba yake mwenyewe. Huyo mama wa maombi ameshindwa kuomba akiwa kwake Hadi aende kwa wachungaji wa michongo?
Kibaya zaidi anamjua mumewe halafu anamletea asusa yeye mwenyewe.
Anakwenda kumkemea shetani Kijiji Cha pili huku akimuacha ibilisi nyumbani. Pumbavu Sana huyo.
 
Kama ni kweli mvua 30 kwa ubakajI + mvua 30 kwa kulawiti + kifungo cha maisha kwa kujaribu kuua zihusike.
Naishauri serikali mtu huyu asifungwe inaonekana kachoka kuishi huyu apigwe vitanzi viwili kabisa kimoja hakitomtosha
 
Hii habari ndio imeishia hapo?!
Benefit of Doubts!
 
Uwa siamini haya Mambo Hadi ithinitishwe mahakamani.
Chuki zimekuwa zinawaletea watu mateso kama haya.
Ngoja tusubiri mwisho wake
 
Siku hizi Kanda ya ziwa wamechangamkia tigo sijui Ni kwanini. Huku Pwani huo mchezo siku hizi sio dili Tena.
 
Afrika hii watoto hawana amani tena,shuleni ulawiti,kwenye baadhi ya nyumba za ibada kuna walimu wa dini nao wanawalawiti,kuna ndugu nao hawaaminiki hawachelewi kumharibu mwanao,mtaani nako hakueleweki.ina maana wasiende shule,ibadani na mafundishoni,wasicheze mtaani.Wazazi sasa presha juu
 
Why students are the most victims of rape actions?
Mama Amon
 
Mara nyingi hivi vitu unaweza ukahukumu lakini ukifuatilia kwa pande zote mbili ndio utajua ukweli.
Pole saana vincent najua wanakijiji waliamua kukuundia zengwe baada ya kuona muda wte unavaa suti kwani tunajua utendaji wako wa kazi na unavyojituma na hata ulipokuwa mwenyekiti wa TAPCHA ngaz y wilaya haukuwa na mambo mengi. Kwa tuliopo karibu na eneo la tukio kuna kama harufu ya kaulaghai flani hivi kwani jamii yenyewe ya wajita najua n wajuaji tu.😜😜😜😜 Nasubiri comments kutoka kwa kina yego na jaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…