Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

siku hizi kupewa kesi ni chap sana kuchafuana na kuharibiana ni kugusa. yaleyale ya RC. jamaa sijui kesi iliishaje
 
Aaahaaa

Shule Gani hiyo?
Kuna shule huko ifakara sijui ni Mahenge anonimas alitoa uzi kuiomba serikali iingilie kati Kwani viongozi wakule wameshindwa kulifanyia kazi nahuyo mwalimu anazidi kuharibu wanafunzi just imagine mwl ndie anawafosi wamuinamishe! Anajifanya kuwaagiza nyumbani kwake kisha kawaambia wamfanyie

Inasikitisha sana


Cc Smart911
 
Hizi akili ngumu sana alipwe kulingana kile alichokitenda
 
Mbn kama imetengenezwa?
Mtoto Dr's la 6 miaka 16?
Abakwe
Alawitiwe
Apeww sumu
Mmmmmmhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…