Mwalimu Mkuu adakwa na TAKUKURU kwa kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa miaka 14 ili kumsaidia mitihani

Mwalimu Mkuu adakwa na TAKUKURU kwa kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa miaka 14 ili kumsaidia mitihani

Ticha kazingua tena pakubwa asee. Amefeli wapi? Hao madenti hawapelekwagi gest wala loji. Hao wanagongeagwa ofisini tena kwa kushtukizwa, tena hediticha kabisa loji ni hiyohiyo ofisi yako😄😄😄!! Unamwita akupangie vitabu hapo hapo unamaliza mchezo
 
Dah! Uwepo wa vichwa viwili kwa wanaume umekua ni changamoto kubwa kwetu. Kichwa kidogo huwa kikiamua kitu, hata kama ni cha kipuuzi! Majuto huja baada ya kufanya.

Mungu aendelee tu kutusaidia kukidhibiti hiki kichwa kidogo kilichojaa ukaidi na tamaa iliyopitiliza.

Yaani una miaka 44 halafu unampeleka mtoto wa miaka 14, tena mwanafunzi wa shule yako nyumba ya kulala wageni! Bora hata angeenda nae porini ili iwe rahisi kukurupuka.

Sheria ifuate tu mkondo wake. Hakuna namna.
 
wakuu wa shule au wamiliki wa shule wachunguzeni walimu kabla ya kuwaajiri.......kuna baadhi ya walimu ni wavuta bangi...wahuni..wafukuzeni haraka
Mkuu uyo mwalimu aliyekamatwa ana umri wa miaka 44 ni mkongwe kabisa
 
Ticha kazingua tena pakubwa asee. Amefeli wapi? Hao madenti hawapelekwagi gest wala loji. Hao wanagongeagwa ofisini tena kwa kushtukizwa, tena hediticha kabisa loji ni hiyohiyo ofisi yako[emoji1][emoji1][emoji1]!! Unamwita akupangie vitabu hapo hapo unamaliza mchezo
Acha ufala
 
Marupurupu ya waalimu ni kutembea na wanafunzi halafu wanaishia jela miaka 30.

Mmeshindwa kumbana Magufuli awapandishie mishahara mnahamisha marupurupu kwa watoto wetu.
Sasa nenda jela na wewe ukaolewe huko.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Uwepo wa vichwa viwili kwa wanaume umekua ni changamoto kubwa kwetu. Kichwa kidogo huwa kikiamua kitu, hata kama ni cha kipuuzi! Majuto huja baada ya kufanya.

Mungu aendelee tu kutusaidia kukidhibiti hiki kichwa kidogo kilichojaa ukaidi na tamaa iliyopitiliza.

Yaani una miaka 44 halafu unampeleka mtoto wa miaka 14, tena mwanafunzi wa shule yako nyumba ya kulala wageni! Bora hata angeenda nae porini ili iwe rahisi kukurupuka.

Sheria ifuate tu mkondo wake. Hakuna namna.
Et unamtuma kabisa boda akufatie nyara kama hiyo. Du. Wakati hao maboda ni ma anda cova TISS . Jamaa kajiharibia mwenyewe, boya kweli yani
 
Fala ni huyo mke wako aliyekuwa anagongewa stoo ya makwanja
Acha ujinga kijana, kwa hiyo unasuport huo ufala mtoto wa miaka 15 awe abused na wasenge maticha au ? anyway usinijibu tena kifala hao ni wanetu tuwatunze ili waweze kuijitambua na kujitegemea
 
Acha ujinga kijana, kwa hiyo unasuport huo ufala mtoto wa miaka 15 awe abused na wasenge maticha au ? anyway usinijibu tena kifala hao ni wanetu tuwatunze ili waweze kuijitambua na kujitegemea
Kwo wakiwa abused na maboda flesh et ila kwa kuwa ni ticha mm fala siyo. Sasa narudia mjinga wewe na bichwa lako kama papai
 
Sasa huyo mtoto hata kumnyonya K itawezekana kweli? Si harufu ya mikojo tu...

Mimi naona ticha kaonewa.
Eti mikojo,wengine ktk umri huo washapevuka tayari.Japo hiyo sio tiketi ya kufanya upuuzi huo.Umri huo hana mang'amuzi juu ya maisha yake.
 
MWALIMU mkuu wa shule ya msingi Nyeregete Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya , Adelhard Mjingo (44) anashikiliwa na taasisi ya kupambana na Rushwa kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Mbeya Julieth Matechi amesema, ofisi yake ilipokea taarifa kutoka kwa raia mwema kuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Nyeregete kuombwa rushwa ya ngono na mwalimu wake mkuu.

Matechi amesema, mwalimu huyo alifanya hivyo kwa ahadi ya kumsaidia katika mtihani wake wa darasa la saba huku akimtishia mwanafunzi huyo kuwa, endapo angemkatalia kufanya nae mapenzi angefanya kila liwezekanalo kuhakikisha anafeli mtihani.

Amesema, Takukuru baada ya kupata taarifa hiyo ilifuatilia na kujiridhisha na baadaye mtego ukawekwa jambo lililofanikisha kumkamata kwa mwalimu huyo septemba 23 mwaka huu, ndani ya nyumba ya kulala wageni (iitwayo Executive), iliyopo Rujewa akiwa na mwanafunzi wake kabla mtuhumiwa hajatekeleza dhamira yake uovu dhidi ya mwanafunzi huyo.

Hata hivyo Matechi amesema, siku ya tukio mwalimu huyo alikuwa ameaga shuleni kuwa anaenda kwenye semina ya chanjo Rujewa ambapo aliondoka na walimu wenzake.

Amesema, baada ya kufika kwenye semina alisaini na kuomba udhuru na kuelekea kwenye nyumba hiyo ya kulala wageni, na wakati huo alikuwa amekwisha mwambia mwanafunzi wake arudi nyumbani kwa ajili ya kubadili nguo ili aende eneo la kibaoni na kumtuma mwendesha bodaboda aende kumchukua na kumpeleka eneo la tukio.

“Akiwa bado hajatimiza lengo lake ndipo makachero wa Takukuru walizokuwa wakifuatilia tukio hilo, wameingia ndani ya numba ya kulala wageni na kumuweka chini ya ulinzi mwalimu huyo,” amesema.

Matechi amesema, uchunguzi wa tuhuma hiyo unaendelea kwa mujibu wa sheria na baada ya kukamilika hatua zitachukuliwa dhidi ya mtuhumiwa ikiwa ni pamoja na kumfikisha mahakamani.

Hata hivyo amesema, kukamatwa kwa mwalimu huyo ni matunda ya uanzishwaji wa klabu za wapinga rushwa mashuleni na vyuoni na mafunzo ya kampeni ya vunja ukimnya kataa rushwa ya ngono ambayo imeendelea kuitoa kwa vijana ili kuwajengea ujasiri kukataa rushwa ya ngono kwa kutoa taarifa na kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya rushwa.
Sasa nimeelewa,Huko mbarali kuna joto,hivyo watoto wa kike wa huko wanakua na kupevuka haraka utadhani kuku wa kisasa,unaweza kuona bonge la jimama ukadhani ni likubwa,kumbe bado kinda kabisa.
 
Sad truth ni kwamba baadhi ya wanaopinga hapa nao wanafanya hayohayo ya huyo mwalimu.

1:Na baadhi watanishambulia sababu ukweli unauma.

2:Ila hawatonishambulia sababu ya kifungu cha maneno namba 1 hapo juu.

Ila wapo watakaonishambulia ili kupingana na kifungu cha maneno namba 2.
Nani amekushambulia mkuu?
 
Ticha kazingua tena pakubwa asee. Amefeli wapi? Hao madenti hawapelekwagi gest wala loji. Hao wanagongeagwa ofisini tena kwa kushtukizwa, tena hediticha kabisa loji ni hiyohiyo ofisi yako[emoji1][emoji1][emoji1]!! Unamwita akupangie vitabu hapo hapo unamaliza mchezo
Watu km wewe sukuma ndani.
 
Duuh... Hapa kiukweli bila maombi ni ngumu Sana kuchomoka
Nilipona hizo mvua miaka hiyo kibinti 16 aisee kazuri sana na ile babyface daah.
Brother wake alinilia mingo Mbaya na mamamtu waniweke ndani ila mwisho nilichomoka na katoto nikachomoa betri
 
Back
Top Bottom