Hata wa kitengo hatumtakiKuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Asilimia 80 ni wasimamizi wa uchaguzi wamepigwa beat wakibandika matokeo mpinzani kashinda wajiandae Ku sufferKuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Utashangaa.Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Mnawaonea tu walimu sababu wanazitaka/wanashida na hizo hela za ajira za muda kama msimamizi wa uchaguzi, Ukweli ni kwamba hakuna mwalimu anaeitaka CCM labda kwa wale wachache wanaopiga dili kupitia connection za CCM.Asilimia 80% ni wasimamizi wa uchaguzi ,,na wamepigwa beat wakibandika matokeo mpinzani kashinda wajiandae Ku suffer
Tena wengi sana sio kumchagua tu bali ukiongea nao wengi sana hawapo upande Lissu wanampenda Magu saa hizi hawaonewi na mabosi zao maboss wanamuogopa Mzee baba.Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Tena wengi tu, hiyo kada ina watu wengi wasiojitambua.Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Inanisikitisha sanaKuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.