Mwalimu Mkuu awa ombaomba mtaani baada ya kustaafu

Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Kama wapo tu kwenye kundi la wale MISUKULE, haitashangaza! Ni haki yao kufanya hivyo. Ila kwa wale binadamu wa kawaida na wenye akili timamu, wanafahamu fika wanachotakiwa kufanya.
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Alikuwa anapenda Sana starehe huyo
 
Chagua Magufuri ndiye raisi Pekee wa Africa Asiye CHEKA na nyani yeye ukizingua anakubwaga hana muda wa kubembeleza
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Huyo ambaye ni ombaomba hayo maisha kayataka mwenyewe ameshundwa kujiwekea vitega uchumi wakati akiwa na nguvu Zake Aje asumbue watu UZEENI...... Hilo ni fundisho la wajinga wajinga wengine mjipange Kabla ya kustaafu Wekeni viaseti sio mnasubiri mstaafu Ndio muanze Kufanya kulialia
 
KURA YAKO MPE MAGUFURI
LISU HAFAI KUWA HATA MJUMBE WA KATA
FB_IMG_1603815138787.jpg
FB_IMG_1603812115062.jpg
 
Kura kwa rungwe..walau wapate wali ndondo kwa siku..njaa hiyo.
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Ana sababu zake za kutolipwa, badala ya kumsaidia uleta uzi huku ili iweje?
 
Wenye akili wameelewa na kuchukua hatua kwenye sanduku la kura. Wewe baki na ujinga wako. Masaa yanayoyoma.
 
Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Kama Mungu ananisikia naomba Magufuli akishinda akaze uzi mara tano ya alivyokaza miaka mitano iliyopita.

Upande wetu watumishi wa umma naomba Mhe. Rais akaze sana ikibidi apunguze hata mishahara, aondoe vikao na safari za maboss n.k

Magufuli ukifanikiwa kuingia tena kazi maradufu, nakuomba sana usiniangushe.
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Kwa nini hakulipwa pension yake? Wacha uchochezi mkuu!
 
Kuna walimu watamchagua Magufuli kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo walimu tu Sky Eclat, matumishi ya umma hayajitambui! Kuna jinga moja juzi kati linanipigia simu eti kunishawishi nililitukana!!
 
Kwa nini hakulipwa pension yake? Wacha uchochezi mkuu!
Yaonekana wewe bado ni mtoto mdogo usiojua hata yanayotokea Tanzania. Hujui wapo wastaafu huu mwaka wa 3 hawajalipwa pensions zao? Wengine wameshafariki. Sababu ni urasimu serikalini. Mifuko ya jamii yenyewe ni mufulisi sababu ya Serikali kukopa bila kulipa.
 
Mshahara alio kuwa analipwa alikua anaupeleka wapi. Au alikua anahonga wote. Polee yake
Serikali ya magu ina mshahara gani Wa maana haunaga nyongeza waka kupanda daraja.

Pamoja na kuandika no zetu za kitambulisho kwenye karatasi ya kupigia kura urais ili akipita aje atukomoe watumishi Wa serikali maana ndo nia yao.

Nimemnyima kura basi.
 
Back
Top Bottom