Huh ni upuuzi mtupu.
Mwalimu mkuu mstaafu anaomba omba mtaani? Alikua wapi miaka yote kujiwekeza ata kibiashara? Basi ata kufuga kuku tu au mbuzi.
Mwalimu mkuu mstaafu unakuaje omba omba, wakati undergraduate/graduate wa chuo aliyejiajiri kuuza karanga kwa mtaji wa 15,000 nk. Sio omba omba mtaani. Mambo mengine nikuendekezena tu.
Ila awe na subira atapata kiunua mgongo chake bado kunaflyover nying za kumalizia kujenga. Bado ndege tano za mizigo hatujanunua na mengine mengi. Nimkumbushe tu huyo mwalimu mkuu akumbuke kuwa makini akipata kiinua mgongo chake.
Kwa sababu walimu wastaafu wenzake wengi/ na wastaafu wa kada zingine, baada yakupata hizo pesa walipitiwa, wakashtuka zimekata. Namshauri hivo kwa sababu ametushangaza wengi, ameshituka tu anastaafu na hakuna alichowekeza cha kumsaidia wakati anasubiri mchakato wa yeye kupewa kiunua mgongo, ili asiwe omba omba mtaaani aibu tupu.
Naipenda nchi yangu Tanzania.