Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
Nimefurahishwa sana na hii spirit ya kuandamana ya hawa vijana wenzetu ambao ndio viongozi wa baadae! Hii maana yake ni nini? kwamba hata wao watakapo kuja kuwa viongozi wakishindwa kudeliver to the expectations na wao pia wataondolewa kwa maandamano kama wao wanavyo ondoa viongozi leo.
Wakumbuke kuwa muosha huoshwa!
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
na waajiri wao ni wakurugenzi wa halmashauri/mji/jijinashukuru kwa masahihisho,tatizo siku hizi shule zipo chini ya wizara tano elimu,tamisemi,utumishi,hazina,waziri mkuu
Aisee ni poa sana huyu jamaa kusimamishwa,maana licha ya kuwa FISADI bali pia ni baadhi ya so-called wasomi ambao wanaongoza bila ya kuwa na busara [ethics] za uongozi
Ni mwezi Februar mwaka huu tulipoandamana hadi REO kupinga vitendo vyake vya ufisadi,hajifunzi,anapaswa kutolewa kabisa huyu,nawapa big up sana hao ILBORIANS kwa kufuata nyayo zetu,
Huyu Mutabuzi anadaiwa kufanya kosa gani? Jina lake kamili ni nani?
aaaa mindule naona unatoa big up sana kwa madogo alafu feb wew uliogopa kuandamana....wewe siulijificha siku ya maandamano na mkabaki shule hadi mkahesabiwa namba na mutabuzi mkakutwa mmebaki kumi na tano?
nilimuona naibu katibu wa chama cha walimu ndg. Oluchi akiongelea hili suala na nilisikitika sana. Anasema kuna taasisi zaidi ya tatu ambazo mwalimu anakuwa answerable na yoyote kati ya hizi inaweza kumsimamisha, kumnyima mshahara au vinginevyo ...kwa kifupi walimu hawana mwajiri wa moja kwa moja! Na ndio akasema kuwa iundwe taasisi na ijulikane kuwa ndio mwajiri wa walimu.na waajiri wao ni wakurugenzi wa halmashauri/mji/jiji
Bora wamsimamishe...maana mwaka 2000 - 2001 tulishindwa kumsimamisha Kitemango kwa kuwa alikuwa na godfathers kibao idara ya elimu mkoa wa Arusha wakati huo.
ebhana mulugo anapiga kazi na namfagilia coz apenda kila kitu kiende kwa mstarihatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
hatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
Mkuu nakumbuka mwaka huo nilikuwa form four pale, huyo jamaa kwenye red alikuwa anajeuri mbaya kwa kuwa mkurugenzi wa Elimu ya sekondari wa wakati huo (sasa hivi ni marehemu) alikuwa mtu wake mbaya. Nevertheless alikuwa anatupoza kwa KITEI hasa kama tumewabeat Mzumbe kwenye NECTA or tumeshinda mechi kubwa, dah i miss those days. All in all well done my jr school mates kwa kuonyesha kile mlichokisimamia.