Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
hatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
 
Bora wamsimamishe...maana mwaka 2000 - 2001 tulishindwa kumsimamisha Kitemango kwa kuwa alikuwa na godfathers kibao idara ya elimu mkoa wa Arusha wakati huo.
 
Ama kweli nchi imebadilika; enzi zetu tulipokuwa ilboru hata kama tungeandamana na kuuwawa, mkuu wa shule asingesimamishwa kazi kupisha uchunguzi bali wanafunzi wengi wangefukuzwa shule;
 
Huyu Mutabuzi anadaiwa kufanya kosa gani? Jina lake kamili ni nani?
 
Kasim Majaliwa si naibu waziri wa elimu! Jaribu tena baadae.
nashukuru kwa masahihisho,tatizo siku hizi shule zipo chini ya wizara tano elimu,tamisemi,utumishi,hazina,waziri mkuu
 
Nimefurahishwa sana na hii spirit ya kuandamana ya hawa vijana wenzetu ambao ndio viongozi wa baadae! Hii maana yake ni nini? kwamba hata wao watakapo kuja kuwa viongozi wakishindwa kudeliver to the expectations na wao pia wataondolewa kwa maandamano kama wao wanavyo ondoa viongozi leo.

Wakumbuke kuwa muosha huoshwa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Si mpaka wasi deliver......watu hujifunza kutokana na makosa ndugu kama ulikuwa hujui..
 
Aisee ni poa sana huyu jamaa kusimamishwa,maana licha ya kuwa FISADI bali pia ni baadhi ya so-called wasomi ambao wanaongoza bila ya kuwa na busara [ethics] za uongozi
Ni mwezi Februar mwaka huu tulipoandamana hadi REO kupinga vitendo vyake vya ufisadi,hajifunzi,anapaswa kutolewa kabisa huyu,nawapa big up sana hao ILBORIANS kwa kufuata nyayo zetu,
 
aaaa mindule naona unatoa big up sana kwa madogo alafu feb wew uliogopa kuandamana....wewe siulijificha siku ya maandamano na mkabaki shule hadi mkahesabiwa namba na mutabuzi mkakutwa mmebaki kumi na tano?
 
acha utani kaka mi mbona nilikuwa frontline boy,acha tusiwape watu faida lets stand together and appreciate what has bn done by our little ones,upo hapo
 
na waajiri wao ni wakurugenzi wa halmashauri/mji/jiji
nilimuona naibu katibu wa chama cha walimu ndg. Oluchi akiongelea hili suala na nilisikitika sana. Anasema kuna taasisi zaidi ya tatu ambazo mwalimu anakuwa answerable na yoyote kati ya hizi inaweza kumsimamisha, kumnyima mshahara au vinginevyo ...kwa kifupi walimu hawana mwajiri wa moja kwa moja! Na ndio akasema kuwa iundwe taasisi na ijulikane kuwa ndio mwajiri wa walimu.
Nadhani mgomo wao juzi ulitetereka kwa sababu ya hii structure unlike Kenya (japo nimeona uzi hapa unahoji sisi kujifananisha na Wakenya) mgomo na madai yao yamefanikiwa sababu ya structure ya taasisi baada ya waziri wao wa elimu kufanya vitisho bila mafanikio.

Vijana wanajua nini cha kufanya maana bila nguvu ya umma majibu ya maswali yao yasingepata majibu kwa haraka,hivi unadhani wangeandika barua kwa Wazziri au naibu wake angeenda kama ilivyotokea?

Najua vijana wamefuata mfano wa nini kinatakiwa kufanywa katika kudai haki yao ya msingi,walioko huko fanyeni mpango wa kuwaona makamanda hao tayari.
 
Bora wamsimamishe...maana mwaka 2000 - 2001 tulishindwa kumsimamisha Kitemango kwa kuwa alikuwa na godfathers kibao idara ya elimu mkoa wa Arusha wakati huo.

Mkuu nakumbuka mwaka huo nilikuwa form four pale, huyo jamaa kwenye red alikuwa anajeuri mbaya kwa kuwa mkurugenzi wa Elimu ya sekondari wa wakati huo (sasa hivi ni marehemu) alikuwa mtu wake mbaya. Nevertheless alikuwa anatupoza kwa KITEI hasa kama tumewabeat Mzumbe kwenye NECTA or tumeshinda mechi kubwa, dah i miss those days. All in all well done my jr school mates kwa kuonyesha kile mlichokisimamia.
 
pengine tulikuwa darasa moja au tulipishana mwaka mmoja...Kitemango alikuwa na back-up kubwa sana wizarani na pale mkoani Arusha...can you imagine headmaster kutumia gari kama lile alilokuwa akitumia? yote ilikuwa ni kushikwa mkono
 
Back
Top Bottom