Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Kaka, zima Autocorrect haipendi Kiswahili.My take.
Mwl Wang wa shule ananifanyia mambo ambayo nikiyafikisha kwa boss wake anaweza ama akamtetea au nikamtia aibu.
Iko hivi.
Alinituma Kiki mimi napaswa kulipwa 150k kwa cheo change per diem nikirejea nikaandikia, wnazitumia eye kwanza. Mara ya kwanza nilisafiri dodoma, mara ingine nikasafiri Arusha. Akita nauli yangu. Ananipa wakati anaotaka yeye.
Edge Tanzania hawa watu ni wengi sana
Mwalimu hata kuandika tu tatizo, acha wakuonee🤣My take.
Mwl Wang wa shule ananifanyia mambo ambayo nikiyafikisha kwa boss wake anaweza ama akamtetea au nikamtia aibu.
Iko hivi.
Alinituma Kiki mimi napaswa kulipwa 150k kwa cheo change per diem nikirejea nikaandikia, wnazitumia eye kwanza. Mara ya kwanza nilisafiri dodoma, mara ingine nikasafiri Arusha. Akita nauli yangu. Ananipa wakati anaotaka yeye.
Edge Tanzania hawa watu ni wengi sana
Inamaana walishindwa hata kutafuta mwanasheria wa kuwasaidia? Au ndio pesa tatizoHao Walimu wangekata rufaa hiyo kesi waanze kujitetea upya
Kwenye utetezi wao waseme wao hawana taaluma ya ununuzi na ugavi, badala yake walipewa kufanya kazi ya ugavi na ununuzi wakati sio taaluma yao
Na wao wameajiriwa kufanya kazi ya kufundisha na sio kununua vifaa vya Ujenzi
Huu mtindo wa Walimu kufanywa wanunuzi, Mainjinia kusimamia Ujenzi wa miradi ya shule inabidi waipige marufuku
Kama maDED wanataka kufanya miradi at lower level, basi ifanywe na Idara zake mama za Ujenzi(Miundominu), Ugavi, Fedha na Mipango
Walimu wengi huwa na tatizo la kipato kutotoshelezaInamaana walishindwa hata kutafuta mwanasheria wa kuwasaidia? Au ndio pesa tatizo
NakaziaKwenye utetezi wao waseme wao hawana taaluma ya ununuzi na ugavi, badala yake walipewa kufanya kazi ya ugavi na ununuzi wakati sio taaluma yao
Waganga Wafawidhi wa vituo, Walimu, huko Halmashauri wanatumika kufanya kazi za ununuzi na usimamizi wa shughuli za Ujenzi wakati sio taaluma zaoNakazia
Acheni ujuaji wa kijiweni,ingekuwa hivyo Kila mtu angejitetea hakuwa na taaluma Fulani ndo maana ametenda kosa hilo.Hao Walimu wangekata rufaa hiyo kesi waanze kujitetea upya
Kwenye utetezi wao waseme wao hawana taaluma ya ununuzi na ugavi, badala yake walipewa kufanya kazi ya ugavi na ununuzi wakati sio taaluma yao
Nimetoa maoni yangu Mkuu, nawe kuwa huru kutoa yakoAcheni ujuaji wa kijiweni,ingekuwa hivyo Kila mtu angejitetea hakuwa na taaluma Fulani ndo maana ametenda kosa hilo.
Au hujui kuwa ignorance of the law excuses not?
Hakika, wao sio wataalamu wa manunuzi wala ugavi.Hao Walimu wangekata rufaa hiyo kesi waanze kujitetea upya
Kwenye utetezi wao waseme wao hawana taaluma ya ununuzi na ugavi, badala yake walipewa kufanya kazi ya ugavi na ununuzi wakati sio taaluma yao
Na wao wameajiriwa kufanya kazi ya kufundisha na sio kununua vifaa vya Ujenzi
Huu mtindo wa Walimu kufanywa wanunuzi, Mainjinia kusimamia Ujenzi wa miradi ya shule inabidi waipige marufuku
Kama maDED wanataka kufanya miradi at lower level, basi ifanywe na Idara zake mama za Ujenzi(Miundominu), Ugavi, Fedha na Mipango
Ni kuwatafutia makosa tu WalimuHakika, wao sio wataalamu wa manunuzi wala ugavi.
Hao wakikata rufaa wanashinda mapema sana!Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa.
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imewahukumu aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamusta, Daniel Gidambisye Murayda, pamoja na Mhasibu wa shule hiyo, James Cosmas Bazil, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka yanayohusisha ukiukaji wa taratibu za manunuzi ya umma.
Hukumu hiyo imetolewa Septemba 10, 2026, na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Mbulu, Vitus Kapugi, katika shauri la uhujumu uchumi namba 14623/2026.
Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, washtakiwa walikiuka kanuni za manunuzi ya umma wakati wa utekelezaji wa Water Sanitization Project katika Shule ya Msingi Nyamusta, Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.
Inadaiwa kuwa washtakiwa walishindwa kushindanisha wazabuni na kutoa zabuni ya kusambaza vifaa vya mradi vyenye thamani ya Shilingi 26,447,217.10, kwa upendeleo na kinyume na Sheria, Kanuni za Manunuzi ya Umma pamoja na miongozo ya utekelezaji wa miradi kwa mfumo wa Force Account.
Baada ya kusikilizwa kwa shauri hilo, Mahakama imewatia hatiani washtakiwa wote wawili na kuwahukumu kila mmoja kutumikia kifungo cha miaka mitatu gerezani au kulipa faini ya Shilingi milioni moja.
Shauri hilo liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Amiri Addy.
My take.