duh, umenikumbusha kitambo. alimuona mtoro mmoja moshi mjini kesho yake assembly akamuita mbele..
"mwanangu embu geuka..
nasemaa, nalikumbuka ili tako.. lile lile nililoliona mjini jana".
dogo alifyeka uwanja wa mpira wiki nzima.
umenichekesha sana cejo
mwaka jana nlikutana nae pale moshi mjini,anajishughulisha na michezo ya mkoa pale nasikia but am not 100% sure....eee bwanaaa mchakamchaka!!nasema amka!
Huyo kiumbe hayuko pale kwa sasa,Tulikuta habar zake tuh,Sasa yuko lema pale, Fujo sana huyo lema, saa moja yuko Azimio na pikipiki lake...
Nimewauliza tabia gani za kutujadii humu mitandaoni?.
Mara azimio walimfanya hivi mara vile,ndo mnavyofundishwa na wazazi wenu hivo?.
Ukimuhitaji mtu watakiwa ujitambulishe if possible weka namb akutafute mwenyewe.
lema mwalimu wa hesabu adv mnoko sana huyo ilibaki kidogo ni mtie makofi yeye na manjoleHuyo kiumbe hayuko pale kwa sasa,Tulikuta habar zake tuh,Sasa yuko lema pale, Fujo sana huyo lema, saa moja yuko Azimio na pikipiki lake...
adabu alikuwa anafundisha chemistry halafu kulikuwa na kilumbuyo physicslema namkumbukaa mwalimu wangu Wa advance pure mathematics hv ngorika bado yupo vp adabu na madam masaule?
hiyo picha imenikumbusha mbali sana, ni mwalimu aliyekuwa anavaa ma t-shirt ya kila kampuni, utamkuta kavaa ya kilimanjaro marathon, voda, tigo, airtel,salama condom,yale ta hospitali ya TB, cocacola, pepsi nk ,noma sana, sitasahau siku aliyotukurupusha azimio dom 10 kukimbia mchakamchaka kumbe madogo kwenye switch wamefumumua wameacha nyaya kwa mtindo ambao ukigusa tu unapigwa shock, alirushwa aka mind akatuweka pale tenis court, ilikuwa shida, sitasahauMwalimu Mpande. Picha kwa hisani ya Mwanafunzi wake....
Hivi kuna lolote ZURI mnamkumbuka? Mbona bado mna hasira naye? Walimu wa siku zile walikuwa wanajituma sana.
Wa siku hizi wala hawana muda. Wewe fanya unavyotaka ni sawa tu.... Tuwape heshima Waalimu wetu wa miaka hiyo.
Au nyinyi mmepigwa sana RUMBA na maisha ya leo hii kiasi kwamba bado mnakumbuka MABAYA tu bila MAZURI?
Tulieni Vijana wa Moshi Tech, nataka kusikia sifa nzuri za huyu Mwalimu. Tuwe na shukurani kwa Walimu wetu.
ni yupi huyo? we ulimuacha mwaka gani?hivi chrisc bado ipo
chrisc ni michezo kaka huwa inajumuisha mataifa kama saba na mpande ndo alikuwa msimamizi na washiriki walikuwa wakikaa kwenye mabweni ya karume mkwawa na lumumba na wanafunzi ambao wapo shuleni kwa wakati huo walikuwa wakiamishiwa azimioni yupi huyo? we ulimuacha mwaka gani?