jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,760
- 1,580
chrisc ni michezo kaka huwa inajumuisha mataifa kama saba na mpande ndo alikuwa msimamizi na washiriki walikuwa wakikaa kwenye mabweni ya karume mkwawa na lumumba na wanafunzi ambao wapo shuleni kwa wakati huo walikuwa wakiamishiwa azimio
nimekumbuka mkuu nilishasahau hio ishu, nakumbuka kuna waliokuwa wanakuja wanafunzi weusi sana nahisi watakuwa walikuwa waganda