wapendwa wana jf heshma kwenu!
me ni mwalimu mpya idara ya secondary kutoka mkoa wa kilimanjaro nimepangwa KIGOMA mwaka huu tar 01-04-2014 yan huwez amim mpaka leo hii nnavyopost hii thrend cjapata hata mshahahara mmoja.
nikifuatiLia wilayan wanasema nisubr cjaingia kwa payroll then maisha ni magumu sana nashndia viaz vya kuchemsha-
Naomben mnishaur cha kufanya coz hata headmaster ananiambia shule haina pesa ya kunisapport mpaka salary itakapotoka.