johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Ni kweliNijuavyo mimi mikopo hudumaza akili
Hata mikopo ya huku mtaani imedumaza akili za watu badala ya kufanya kazi na kujiingizia kipatow wanashinda kwenye ofisi za mikopo badala ya kutafuta mbinu za kujiingizia kipato
ACHA KUMUMUNYA MANENO TATIZO LA TZ NI CCMHaya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama
Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa
Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kuombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia
Jumaa Mubarak ๐
Wajinga na wapumbavu, upumbavu kwa Tanzania ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoKwa aina ya viongozi hawa wajinga tulio nao ni ngumu sn
Uchumi wetu unapaa kuliko Kenya ,kina mwashambwa wanakuja huku kubwabwaja mpaka shati linaloa mate, pumbavu kabisaTrump amekasirika sana na haya madata ya Uwongo ๐ผ๐
Rushwa imeharibu sn hili taifaWajinga na wapumbavu, upumbavu kwa Tanzania ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo