Mwalimu Mwakasege amefundisha sana kuhusu Msimu Mpya na ndio umeshafika Trump anavunjavunja Mihimili ya Uwongo USAID, ICC, UNRWA nk

Mwalimu Mwakasege amefundisha sana kuhusu Msimu Mpya na ndio umeshafika Trump anavunjavunja Mihimili ya Uwongo USAID, ICC, UNRWA nk

Nijuavyo mimi mikopo hudumaza akili

Hata mikopo ya huku mtaani imedumaza akili za watu badala ya kufanya kazi na kujiingizia kipatow wanashinda kwenye ofisi za mikopo badala ya kutafuta mbinu za kujiingizia kipato
Ni kweli
 
Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya

Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu badala ya kutatua Hata migogoro midogo kama ya Congo wao ndio wanaikuza Ili waendelee Kula Michango ya nchi Wanachama

Aidha Trump amesema Taasisi za Kimataifa kwa makusudi huwa danganya Viongozi wa Africa Uchumi wao unakua kwa asilimia kubwa ilhali wananchi wa nchi hizo ni maskini wa kutupwa

Kuanzia Sasa mimi Yohanne nitajikita kuombea Tanganyika na Zanzibar Ili Mungu wa Mbinguni azidi Kutukumbuka na kutubarikia

Jumaa Mubarak 😂
ACHA KUMUMUNYA MANENO TATIZO LA TZ NI CCM
 
Msimu mpya ni WA walawi kukalia viti vya Enzi.

Donald Trump naye ni Nabii wa wakati huu akitimiza agenda ya Mungu katika KITI Cha utawala wa WANADAMU unaomuwakilisha Mungu.

Ukisikia Ufalme wa Mungu uje, ndio huu sasa.

Nyikani Inakuja pia.
 
Back
Top Bottom