johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote.
Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku ya uchaguzi, na siku 7 baada ya uchaguzi. Amesema hayo katika kongamano la kuombea " siku" ya uchaguzi linalofanyika UDOM, jijini Dodoma.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama amen!