johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tuko kiroho zaidi bwashee!Hajaunga juhudi?
Namlubali sana Mwalimu, huwa haegemei upande wowoteMwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote...
Msalimu shemeji hapo nyumbanAmefanya maombi kuhusu mgombea ambaye yuko na hila za Robertson na genge lake dhidi ya Taifa la Tanzania?
Eeh anaongea na Mungu wanaelewana wao tuMwakasege namuelewa Sana isipokuwa pale anaposema roboshakandarashoko
Amina!Nipo Hapa na mpata live
Amen!HAKIKA MTUMISHI BORA KABISA WA MIAKA YOTE TANZANIA.
Haki huinua taifa.
Amen Mwalim mwakasege.