Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

Kajificha Chato halafu akawa chaguo la Mungu? Shetani amekuweza kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Antichrist, anti science
dini zimekuwa politics na biashara na wajinga ndiyo waliwao
 
Kwa wasoma Bible haswa, Docrtine za Mwakasege ni Cecular education; Nafundisha Cecular sana kwa Mwamvuli wa Spiritual. Ila kwa Wanaoanza Imani mnaweza kwenda Kwake, SO far TZ yote sikuwahi ona Mtu anayefundisha DOCTRINE za kumfunua YESU kwa waamini wake; Wengi ni Prosperity na Cecular teachnings.(Ieleweke huu ni mtazamo wangu kwa kadiri ya Kweli za Neno ambazo nazifahamu, na naendelea Kujifunza)

Kwa walio-advance kwenye Kutaka kujua Neno la Mungu please unaweza cheki Teaching za hawa jamaa; US Kuna jamaa anaitwa Andrew Wommack na Africa Yuko jamaa anaitwa Dr. Abel Damina
 
Barikiwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washenzi waliunda ebola ugonjwa wa kubleed damu,now wakaja na opposite yake,ugonjwa wa kugandisha damu,,
Corona sio ebola,,tuchapeni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…