Mwalimu Mwakasege kujenga Ukumbi wa kisasa wa Maombi jijini Dodoma utakatoa Huduma 24/7 na utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.

Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia madhabahu hiyo ya Bwana.

Mungu ni mwema wakati wote.

Source Upendo tv!
 
Nilisikia anasifiwa huwa hachukui sadaka au alieniambia hivyo alinidanganya?
 
Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.

Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia madhabahu hiyo ya Bwana.

Mungu ni mwema wakati wote.

Source Upendo tv!
Safi
 
Vipi ujenzi wa ukumbi huu umefikia hatua gani kwa sasa?
 
Hata Daudi hakuruhusiwa na Mungu kujenga kanisa.

Akaja akajenga mwanae Suleiman.
 
Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.

Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia madhabahu hiyo ya Bwana.

Mungu ni mwema wakati wote.

Source Upendo tv!
Haya ndiyo matatizo ya kukurupuka kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu baada tu ya kutoka kilabu cha pombe za kienyeji.
 
Dini inalipa sana. Ningeijua biblia walau page 2 tuu ningeanzisha kanisa na hivi najua kicheza na logics wangenikoma
Kama inalipa, wewe unasubiri nini? Si na wewe uingie huko uone kama itakulipa? Kwenye dini kuna biashara unadhani?

Mungu ndiye anayelipa na siyo dini, tena analipa sana. Wale wote wanaomtumikia Mungu kwa kicho kama Mwalimu Mwakasege, Mungu anawalipa, tena sana

Na hapa nilipo nipo naandaa sadaka yangu kwa ajili ya maombi ya mwezi wa 8 Dodoma. Nimemuona amekuwa akigawa bahasha kwa wale wanaohudhuria LIVE, mimi nami nimeshachukua namba yake ya AIRTEL na muamala utasoma kwenye namba yake wiki hii au ijayo
 
Pigwa tu hakuna shida!
 
Back
Top Bottom