johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
SafiMwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.
Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia madhabahu hiyo ya Bwana.
Mungu ni mwema wakati wote.
Source Upendo tv!
Amina!...Jambo jema sana
Amina!Safi
Huyu ameruhusiwa na Mungu tayari.Hata Daudi hakuruhusiwa na Mungu kujenga kanisa.
Akaja akajenga mwanae Suleiman.
Kwani Mwakasege naye alimteka mke wa mtu kama Daudi alivyofanya?Hata Daudi hakuruhusiwa na Mungu kujenga kanisa.
Akaja akajenga mwanae Suleiman.
Haya ndiyo matatizo ya kukurupuka kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu baada tu ya kutoka kilabu cha pombe za kienyeji.Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.
Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia madhabahu hiyo ya Bwana.
Mungu ni mwema wakati wote.
Source Upendo tv!
Kama inalipa, wewe unasubiri nini? Si na wewe uingie huko uone kama itakulipa? Kwenye dini kuna biashara unadhani?Dini inalipa sana. Ningeijua biblia walau page 2 tuu ningeanzisha kanisa na hivi najua kicheza na logics wangenikoma
Pigwa tu hakuna shida!Kama inalipa, wewe unasubiri nini? Si na wewe uingie huko uone kama itakulipa? Kwenye dini kuna biashara unadhani?
Mungu ndiye anayelipa na siyo dini, tena analipa sana. Wale wote wanaomtumikia Mungu kwa kicho kama Mwalimu Mwakasege, Mungu anawalipa, tena sana
Na hapa nilipo nipo naandaa sadaka yangu kwa ajili ya maombi ya mwezi wa 8 Dodoma. Nimemuona amekuwa akigawa bahasha kwa wale wanaohudhuria LIVE, mimi nami nimeshachukua namba yake ya AIRTEL na muamala utasoma kwenye namba yake wiki hii au ijayo