hyo ni shuleHiyo ndio nyumba yako? mshahara unaweka wapi?
Ya upishi?hyo ni shule
Ni kwamba wandugu mwaka 2008 Matipwili Palikua hapafiki gari lolote,Tulikua tukienda kuchukua mshahara unakodi bodaboda hadi kidomole sh8000,kidomole bagamoyo sh2000 na Bagamoyo dar1500.Kipindi cha mvua nauli hubadilika Matipwili kidomole sh1700,Kidomole Bagamoyo 2000,na Baga to Dar1500,zidisha mara2 pamoja na kurudi.na mshahara tukianza take home ilikua 140,000.za Tz.
wewe kova sio SSP, yeye ni CP.Baada ya hapo jiandae kushtakiwa kwa maosa ya ugaidi, wewe si kila siku unamlalamikia Afisa elimu wako na leo umeweka picha zako? Watatengeza video unaiba mitihani ya Form Four halafu wataitupa You tube ukutane na SSP Kova
Hilo linapunguza au kuongeza nini kwenye uhusika wake katika kuetengeneza sinema?wewe kova sio SSP, yeye ni CP.