BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Haya ni mazingira niliyofundisha miaka m4,Kulikua hakuna gari inayofika AKA Basi ila nilipoomba kusoma nikahamishwa fasta na wakati huo ruhusa ya kusoma nimepata.Na mimi Chuo nimepata mwezi wa10 mwaka2011 na muda huo May niliaply TCU,Nilifata Procidure ila nkienda kwa mkurugenzi makarani wake wananizungusha eti nisubiri DEO akiwepo na Afisa utumishi.Nimeenda Mara nyingi ila Nazungushwa,Naishi kwa mikate ila Niatachomoka tu.