Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

Nishaondoka huko,nipo masomoni,mshahara ndo DEO ananiibia
 
kaka huo usafiri unakutosha, kuna mwl hata baisikeli hana.
 
Maisha yako yako mikononi mwako mwenyewe hakuna anayependa ufanikiwe, mi mwenye niliondoka 2010 october, Febr.2012 wakafunga mshara wangu but nina miezi 3 na kidogo nimalize shahada yangu ya kwanza. so komaa Mungu anakuona mwl.
 
Pole mwl mwenzangu,ila kusoma sio kukwepa mazingira ya pori.Mie miaka mitano iliyopita niliyakimbia lakini baada ya masomo nimehamishiwa porini zaidi pamoja na degree yangu.
 
Back
Top Bottom