hahaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka hapa mpaka basi, sometimes ndio maana unaweza sema wanawake wana akili sana, short answer but clear.
xio mbaya manahahahahaha.......happy unaniabisha wajina la mwanangu....duh ndo unataka niwe mkwe wa john.
anakaribishwa ila mahali ataiweza.xio mbaya mana
mtoto wa dada anaitwa john xo atamuoa huyo mtoto wako
anakaribishwa ila mahali ataiweza.